Home Education Funny Whatsapp Chat Between: President Uhuru Kenyatta, Raila, William Ruto, Duale, Wetangula,...

Funny Whatsapp Chat Between: President Uhuru Kenyatta, Raila, William Ruto, Duale, Wetangula, Magufuli

446
0

 
RAILA:
Niaje Uhuru
UHURU:
Poa nambie..
RAILA:
Twaeza enda private kidogo..
UHURU
Kuna issue gani?
RUTO
typing…
RAILA
Siezi kuambia apa ni kitu personal.
UHURU
Kama huwezi ongea tembeza kiatu.
RUTO
Yeah.. I was about to say that,tembeza kiatu,hapa ni kesema na kutenda.
KALONZO
typing..
RAILA
Wewe nawe nani amekuongelesha,unafikiria hapa kuna shamba.
RUTO
Kwenda huko ntakuitia watu wa teargas
DUALE
??? mpashe
RAILA
Hata mtupige na teargas IEBC must go.
KALONZO
typing..
RUTO
My friend let me tell,you we don’t need IEBC to win erection
KALONZO
???,eti erection?
RUTO
Sorry I meant election
KALONZO
DP mzima unashrub kazi ni kutuibia kura tu.
RUTO
Nyama we utaniambia nn,ngoja kwanza nkuletee kiboko yako.
WETA
Watu wa chupili siku mtakucha Pungoma mtatutambua.
Ruto added MTUA
DUALE
Weta wacha hate speech ama niambie bibi yako
WETA
Ww funga mtomo wako,kwanza tunafunga camp ya Dadaab sijui utaenda wapi.
DUALE
Kwenda huko ww hio Bungoma si ya mamako bwana!
UHURU
Jamaneni punguzeni matusi,wananchi hawatakula matusi.
Martha Karua left
KHALWALE
tying…
RUTU
Uhunye wacha watu wapashane my friend
0703106767 2nd lady
???????
RAILA
Nani huyo anaitwa first lady?
KALONZO
Si ni waiguru,kwani huna no yake?
RAILA
Nifanyie nn,knt.
MAGUFULI
typing..
UHURU
Goodnight gays
*guys
WETA
Fiongosi wa chupili punguzeni kushrub
RAILA
Wewe Uhuru unalala sahi kama mtoto
UHURU
Nko na mafua
RAILA
Mafua vitu gani unaona Magufuli tying na ukashikwa na mafua ghafla
KALONZO
????????mpashe captain hapo umeongea ukweli
MAGUFULI
Masela wanasabahi hamjambo.
RAILA
Hatujambo ndugu
habari ya Tanzania
MAGUFULI
Twashukuru mashoga zangu
RUTO
My friend wacha matusi waita nani shoga
WETA
Wewe kama huchui kiswahili nyamasa, shoga ni neno lingine la shoka.
???????
Source: whatsapp Group

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments