Home Education Kelele Takatifu – Ngori : Bila Yesu Lyrics

Kelele Takatifu – Ngori : Bila Yesu Lyrics

2296
0

ngori kelele takatifu lyrics, bila yesu itakuwa ngori mp3, bila yesu itakua ngori download, ngori by kelele takatifu mp3 download, kelele takatifu ngori video download, kelele takatifu ngori mp3, itakuwa ngori by kelele takatifu
download, itakuwa ngori by kelele takatifu,

Lyrics Bila Yesu Itakuwa Ngori – Kelele Takatifu

yess aahii eeeh aaii
ribaribabangbangbeng
ni Kelele Takatakagweng
hee wollan

itakua ngori, bila Yesu itakua ngori
itakua ngori, pause, mwisho wa story*2

Didi
ananishangazanga nasema ulala
kumsifu, kazi hakuna kulala
amenipa mavazi na chakulala
niko fresh , niko fridge, niko cool lala
askari ama jeshi ama uwe raia
tumekubaliana devil is a liar
bila Yesu mambo ngori, mambo iko mbaya
ni ka safari bila visa ya kufika ulaiya
hii siyo movie ka ya Peter pan
nafuata Yesu pia if Peter can
kila mtu sifu Mungu hata Peter can
nani mimi Didi hapa, but I think am done

itakua ngori, bila Yesu itakua ngori
itakua ngori, pause, mwisho wa story*2

Moji
unaitwa Otieno ama ding’ori,
haijalishi but bila Yesu ni ngori
itakua moody kuliko Awori
haijalishi but bila Yesu ni ngori
itakua moody kuliko Awori
ka movie haina stero mwisho wa story
hii story inaniuma uma
nataka isambae ka a rumor rumor
Yesu amenituma tuma
nikushow bila ye ni ka kuuma chuma
hijalishi umefanya nini no no
love yake kwake ni ni more more
alinitoa mimi chini chini low low
usikatae kumuamini mini no no
Yesu ndo fiti fiti styroo
Ye ndio mfiti fiti I know
Yesu ndo fiti fiti styroo
Ye ndio mfiti fiti I know

itakua ngori, bila Yesu itakua ngori
itakua ngori, pause, mwisho wa story*2
so I, I, I, I, I, I tell yah
bila Yesu ni ngori I I tell yah
so I, I, I, I, I, I tell yah
bila Yesu ni ngori I I tell yah
aii mummy I tell yah
aii daddy I tell yah
aah nani I tell yah
bila Yesu ni ngori I I tell yah
woyoyoyo, itakua ngori, woyoyoyo, bila Yesu itakua ngori
woyoyoyo, itakua ngori, woyoyoyo,  pause, mwisho wa story*2
pribebebebibababengbeng, aribaribaribabengbeng
Kelele Takatifu haiya deng deng deng
aaii Saint Pizzy weiweiwei
aah aribaribaribadengdeng,
bila Yesu ding’aring’a ding’adengdeng
we deh good boys not badda dan dem
ahaha we murder dem
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments