Home Education Over 500 Men offer to Marry Tanzanian Singer Ray C

Over 500 Men offer to Marry Tanzanian Singer Ray C

357
0

Over 500 Men offer to Marry Tanzanian Singer Ray C After she revealed her tough ’10 commandments’

Ray C last week got East Africa talking about her list of 10 qualities she was looking for in a husband.
She took to Instagram to declare that she was in the market for a husband who should know all her songs by heart, be ready to share a phone with her and work in the same office with her, among other conditions.

It’s only recently when singer Ray C gave a clear definition of the man she want in her live but before the dust settles, more than 500 men have declared interest.
The singer is now complaining that men are calling her day and night begging for marriage.
Her 10 commandments are listed below:
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1. Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze.
2. Awe anapenda muvi za kihindi ili nikiwa na stress aniwekee nyimbo za kihindi maana ndio raha ya moyo wangu.
3. Asiwe muongeaji sana sababu huwa sipendi makelele.
4 Anipende na ubonge wangu huu asije akaanza kunambia baby anza mazoezi au dah baby zamani ulikuwa bomba au rudisha kiuno hapo hatutaelewana.
5. Awe ananipikia nikichoka maana navutiwa nikimuona mwanaume anapika.
6. Awe na mimi muda wote maana na wivu sana ikiwezekana tufanye kazi ofisi moja au awe ofisi ijengwe hapo hapo nyumbani.
7. Awe mvumilivu maana nikiwa na hasira huwa naongea kwa sauti ya juu sana.
8. Asiwe na rafiki wengi,na akitaka kuonana nae na mi niwepo maana si mnajua wanaume tena wakikutana huwa wanashaurina mabaya.
9. Awe anajua nyimbo zangu zote ndio ntaamini kweli ananipenda.
10. Sharti la mwisho kabisa ambalo ni muhimu sana kwangu ni hili tuwe tunatumia simu moja na namba moja.
“Maana kanisani tunafundishwa kuwa ndoa maana yake tumeungana na kuwa kitu kimoja kwahiyo kama mume na mke tunalala pamoja kitanda kimoja na kuishi pamoja kwanini tusitumie simu moja! Sioni tatizo!
Kama una ndugu, jamaa, kaka, rafiki yuko single basi mjulishe tangazo hili huezi jua unaeza ukashangaa. nimekuwa shemeji yako au wifi yako”

“So far, so good, I have received 500 requests and from the looks of things, I see myself setting wedding bells dates after doing the elimination and choosing one,” she added.

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments